Upasuaji wa kwanza kuondoa uvumbe kwenye pafu kwa kutumia tundu dogo moja wafanyika Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kifua kwa mgonjwa ili kuondoa uvimbe kwenye pafu kutumia tundu dogo moja.